Surat Adh-Dhariyat, aya 46

51:46

وَقَوۡمَ نُوحٖ مِّن قَبۡلُۖ إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَوۡمٗا فَٰسِقِينَ ٤٦

Waqawma nūhim min qablu innahum kānū qawman fāsiqīn

Na kaumu ya Nuhu hapo mbele. Hakika hao walikuwa watu wapotovu. 46

Maelezo ya chini

46 Na kaumu ya Nuhu tuliihiliki kabla ya hawa. Hakika hao walikuwa watu walio toka nje ya ut'iifu wa Mwenyezi Mungu.