مَا تَذَرُ مِن شَيۡءٍ أَتَتۡ عَلَيۡهِ إِلَّا جَعَلَتۡهُ كَٱلرَّمِيمِ ٤٢
Mā tadharu min shay'in atat 'alayhi illā ja'alathu kar-ramīm
Haukuacha chochote ulicho kifikia ila ulikifanya kama kilio nyambuka. 42
Maelezo ya chini
42 Upepo huo haupiti kwa kitu chochote ila hukiacha kama fupa lilio nyambuka.