Surat Adh-Dhariyat, aya 43

51:43

وَفِي ثَمُودَ إِذۡ قِيلَ لَهُمۡ تَمَتَّعُواْ حَتَّىٰ حِينٖ ٤٣

Wafī thamūda idh qīla lahum tamatta'ū hattā hīn

Na katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu. 43

Maelezo ya chini

43 Na katika kisa cha Thamudi ipo Ishara. Walipo ambiwa: Stareheni katika majumba yenu kwa muda maalumu.