وَفِي عَادٍ إِذۡ أَرۡسَلۡنَا عَلَيۡهِمُ ٱلرِّيحَ ٱلۡعَقِيمَ ٤١
Wafī 'ādin idh arsalnā 'alayhimur-rīhal-'aqīm
Na katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi. 41
Maelezo ya chini
41 Na katika kisa cha A'di yamo mawaidha pia. Tulipo wapelekea upepo usio kuwa na kheri yoyote.