Surat Adh-Dhariyat, aya 20

51:20

وَفِي ٱلۡأَرۡضِ ءَايَٰتٞ لِّلۡمُوقِنِينَ ٢٠

Wafil-ardi āyātul lil-mūqinīn

Na katika ardhi zipo Ishara kwa wenye yakini. 20

Maelezo ya chini

20 Na katika ardhi zipo dalili nyingi zilizo wazi zinazo pelekea yakini, kwa mwenye kuitafuta njia.