Surat Adh-Dhariyat, aya 21

51:21

وَفِيٓ أَنفُسِكُمۡۚ أَفَلَا تُبۡصِرُونَ ٢١

Wafī anfusikum afalā tubsirūn

Na pia katika nafsi zenu - Je! Hamwoni? 21

Maelezo ya chini

21 Na hali kadhaalika katika nafsi zenu zipo Ishara zilizo wazi. Je! Mmeghafilika nazo, hamzioni?