Surat Adh-Dhariyat, aya 19

51:19

وَفِيٓ أَمۡوَٰلِهِمۡ حَقّٞ لِّلسَّآئِلِ وَٱلۡمَحۡرُومِ ١٩

Wafī amwālihim haqqul lis-sā'ili wal-mahrūm

Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba. 19

Maelezo ya chini

19 Na katika mali yao wakiweka fungu maalumu lilio thibiti kwa ajili ya wenye haja, wanao omba na wanao jizuilia kuomba kwa kujiteta.