Surat Adh-Dhariyat, aya 12

51:12

يَسۡـَٔلُونَ أَيَّانَ يَوۡمُ ٱلدِّينِ ١٢

Yas'alūna ayyāna yawmud-dīn

Wanauliza: Ni lini hiyo siku ya malipo? 12

Maelezo ya chini

12 Wanauliza kwa kejeli, kwa kuwa wanaona hayawi hayo: Lini itakuwa hiyo siku ya malipo?