وَٱلذَّٰرِيَٰتِ ذَرۡوٗا ١
Wadh-dhāriyāti dharwā
Naapa kwa pepo zinazo tawanya! 1
Maelezo ya chini
1 Ninaapa kwa pepo zinazo timua mawingu, zikayasukuma kwa nguvu, huku zikibeba mizigo mizito ya maji, zikawa zinakwenda kwa wepesi kwa amri ya Mwenyezi Mungu, zikawa zinagawanya riziki kwa ampendaye Mwenyezi Mungu.