Surat Ad-Dukhan, aya 44

44:44

طَعَامُ ٱلۡأَثِيمِ ٤٤

Ta'āmul-athīm

Ni chakula cha mwenye dhambi. 44

Maelezo ya chini

44 Hakika mti wa Zaqqumu unao juulikana kwa ubaya wa sura yake, na ukarihi kuula kwake, na harufu yake, ni chakula cha wakosefu wenye madhambi mengi.