Surat Ad-Dukhan, aya 43

44:43

إِنَّ شَجَرَتَ ٱلزَّقُّومِ ٤٣

Inna shajarataz-zaqqūm

Hakika Mti wa Zaqqum, 43

Maelezo ya chini

43 Hakika mti wa Zaqqumu unao juulikana kwa ubaya wa sura yake, na ukarihi kuula kwake, na harufu yake, ni chakula cha wakosefu wenye madhambi mengi.