إِنَّ يَوۡمَ ٱلۡفَصۡلِ مِيقَٰتُهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٤٠
Inna yawmal-fasli mīqātuhum ajma'īn
Hakika siku ya Uamuzi ni wakati ulio wekwa kwa wao wote. 40
Maelezo ya chini
40 Hakika siku ya hukumu kupambanua baina ya mwenye haki na asiye na haki, ni wakati walio ahidiwa wote.