يَوۡمَ لَا يُغۡنِي مَوۡلًى عَن مَّوۡلٗى شَيۡـٔٗا وَلَا هُمۡ يُنصَرُونَ ٤١
Yawma lā yughnī mawlan 'am mawlan shay'an walā hum yunsarūn
Siku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwa chochote, wala hawatanusuriwa. 41
Maelezo ya chini
41 Siku ambayo jamaa hawezi kumtetea jamaa yake, wala rafiki kumtetea rafiki yake kwa lolote, hata kwa uchache wa adhabu. Wala wao hawatanusuriwa nafsi zao mbele ya Mwenyezi Mungu.