Surat Ad-Dukhan, aya 39

44:39

مَا خَلَقۡنَٰهُمَآ إِلَّا بِٱلۡحَقِّ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ٣٩

Mā khalaqnāhumā illā bil-haqqi walākinna aktharahum lā ya'lamūn

Hatukuviumba hivyo ila kwa Haki, lakini wengi wao hawajui. 39

Maelezo ya chini

39 Hatukuziumba hizo ila kwa umbo lilio ambatana na hikima, kwa nidhamu iliyo thibiti yenye kuonyesha ushahidi wa kuwepo Mwenyezi Mungu wa pekee, Mwenye uwezo. Lakini wengi wa hawa wameghafilika, wamo katika upofu, hawazioni dalili hizi.