إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَيَقُولُونَ ٣٤
Inna hā'ulā'i layaqūlūn
Hakika hawa wanasema: 34
Maelezo ya chini
34 Hakika hawa wanao kadhibisha kufufuliwa bila ya shaka wanasema: Hapana kufa ila kwa haya haya mauti yetu ya kwanza ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa tena.