Surat Ad-Dukhan, aya 33

44:33

وَءَاتَيۡنَٰهُم مِّنَ ٱلۡأٓيَٰتِ مَا فِيهِ بَلَٰٓؤٞاْ مُّبِينٌ ٣٣

Wa ātaynāhum minal-āyāti mā fīhi balā'um mubīn

Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyo wazi. 33

Maelezo ya chini

33 Na Mwenyezi Mungu akawaletea katika mkono wa Musa dalili kadhaa wa kadhaa za kuwatia wao katika mitihani iliyo wazi.