Surat Ad-Dukhan, aya 25

44:25

كَمۡ تَرَكُواْ مِن جَنَّٰتٖ وَعُيُونٖ ٢٥

Kam tarakū min jannātin wa'uyūn

Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! 25

Maelezo ya chini

25 Hao watu wa Firauni baada ya kuzama kwao waliacha mabustani mengi yenye kunawiri, na chemchem zinazo tiririka maji yake,