Surat Ad-Dukhan, aya 24

44:24

وَٱتۡرُكِ ٱلۡبَحۡرَ رَهۡوًاۖ إِنَّهُمۡ جُندٞ مُّغۡرَقُونَ ٢٤

Watrukil-bahra rahwan innahum jundum mughraqūn

Na iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika wao hao ni jeshi litakalo zamishwa. 24

Maelezo ya chini

24 Na iache bahari imetulia kama ilivyo baada ya kwisha pigwa kwa fimbo, wapate kuingia hao wanao kanya; kwani wao watazama tu, hapana hivi wala hivi.