Surat 'Abasa, aya 20

80:20

ثُمَّ ٱلسَّبِيلَ يَسَّرَهُۥ ٢٠

Thummas-sabīla yassarah

Kisha akamsahilishia njia. 20

Maelezo ya chini

20 Kisha akamfanyia nyepesi njia ya kufikia Imani, na akamfunza njia hiyo.