Surat 'Abasa, aya 19

80:19

مِن نُّطۡفَةٍ خَلَقَهُۥ فَقَدَّرَهُۥ ١٩

Min nutfatin khalaqahū faqaddarah

Kwa tone la manii, akamuumba na akamkadiria. 19

Maelezo ya chini

19 Kutokana na maji ya kudharauliwa Yeye Mwenyezi Mungu alimwanzisha kumuumba akamjaalia apitie daraja mbali mbali za kukua.