Surat Yusuf, aya 72

12:72

قَالُواْ نَفۡقِدُ صُوَاعَ ٱلۡمَلِكِ وَلِمَن جَآءَ بِهِۦ حِمۡلُ بَعِيرٖ وَأَنَا۠ بِهِۦ زَعِيمٞ ٧٢

Qālū nafqidu suwā'al-maliki waliman jā'a bihī himlu ba'īrin wa ana bihī za'īm

Wakasema: Tumepoteza kopo la mfalme. Na ataye lileta atapewa shehena nzima ya ngamia. Nami ni dhaamini wa hayo. 72

Maelezo ya chini

72 Wale wasaidizi wakajibu: Tunatafuta kikopo, nacho ni chombo anacho nywea mwenyewe mfalme. Na malipo yake kwa mwenye kukileta ni shehena nzima ya chakula anayo ibeba ngamia. Yule mkubwa wao alitilia mkazo hayo kwa kusema: Na mimi ninadhamini kutimiza ahadi hii.