Surat Yusuf, aya 71

12:71

قَالُواْ وَأَقۡبَلُواْ عَلَيۡهِم مَّاذَا تَفۡقِدُونَ ٧١

Qālū wa aqbalū 'alayhim mādhā tafqidūn

Wakasema nao wamewakabili: Kwani mmepoteza nini? 71

Maelezo ya chini

71 Wakashituka nduguze Yusuf kwa kutangaziwa yale, wakawaelekea wale wenye kunadi wakawauliza: Mmepoteza nini, na mnatafuta nini?