۞ لَّقَدۡ كَانَ فِي يُوسُفَ وَإِخۡوَتِهِۦٓ ءَايَٰتٞ لِّلسَّآئِلِينَ ٧
Llaqad kāna fī yūsufa wa ikhwatihī āyātul lis-sā'ilīn
Kwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza. 7
Maelezo ya chini
7 Hakika katika kisa cha Yusuf na nduguze zipo dalili na mazingatio kwa waulizao, wenye kutaka kujua.