ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ٦٣
Alladhīna āmanū wakānū yattaqūn
Hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha Mungu. 63
Maelezo ya chini
63 Na hao ndio walio yasadiki yote yaliyo toka kwa Mwenyezi Mungu, na wakaifuata Haki, na wakayaepuka maasi, na wakamkhofu Mwenyezi Mungu katika kila walitendalo.