Surat Yasin, aya 75

36:75

لَا يَسۡتَطِيعُونَ نَصۡرَهُمۡ وَهُمۡ لَهُمۡ جُندٞ مُّحۡضَرُونَ ٧٥

Lā yastatī'ūna nasrahum wahum lahum jundum muhdarūn

Hawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio watakuwa askari wao watakao hudhurishwa. 75

Maelezo ya chini

75 Hiyo miungu ya uwongo haiwezi kuwasaidia kwa lolote Mwenyezi Mungu akiwatakia madhara. Kwani miungu hiyo haiwezi kunafiisha wala kudhuru. Bali wao kwa hiyo miungu isiyo weza kitu, ni kama askari walio tayarishwa kwa ajili ya kuwakhudumia na wa kuwalinda na madhara.