وَٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ ءَالِهَةٗ لَّعَلَّهُمۡ يُنصَرُونَ ٧٤
Wattakhadhū min dūnillāhi ālihatal la'allahum yunsarūn
Na wameishika miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati wapate kusaidiwa! 74
Maelezo ya chini
74 Na washirikina wamefanya miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu wakiwaabudu kwa kutaraji kuwa ati watawasaidia.