Surat Yasin, aya 63

36:63

هَٰذِهِۦ جَهَنَّمُ ٱلَّتِي كُنتُمۡ تُوعَدُونَ ٦٣

Hādhihī jahannamul-latī kuntum tū'adūn

Hii basi ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa. 63

Maelezo ya chini

63 Wataambiwa: Hii ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa mlipo kuwa duniani. Ndiyo jaza ya ukafiri wenu.