ٱصۡلَوۡهَا ٱلۡيَوۡمَ بِمَا كُنتُمۡ تَكۡفُرُونَ ٦٤
Islawhal-yawma bimā kuntum takfurūn
Ingieni leo kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru. 64
Maelezo ya chini
64 Ingieni! Na hilikini kwa joto lake hii leo kwa ukafiri wenu!