إِنَّ أَصۡحَٰبَ ٱلۡجَنَّةِ ٱلۡيَوۡمَ فِي شُغُلٖ فَٰكِهُونَ ٥٥
Inna ashābal-jannatil-yawma fī shughulin fākihūn
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi. 55
Maelezo ya chini
55 Hakika watu wa Peponi hii leo watakuwa wameshughulika kwa neema walizo nazo, wakistaajabia na kufurahia.