Surat Yasin, aya 56

36:56

هُمۡ وَأَزۡوَٰجُهُمۡ فِي ظِلَٰلٍ عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ مُتَّكِـُٔونَ ٥٦

Hum wa azwājuhum fī zilālin 'alal-arā'iki muttaki'ūn

Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari. 56

Maelezo ya chini

56 Wao na wake zao wamo katika vivuli vilivyo enea, wameegemea juu ya viti vilivyo pambwa.