Surat Yasin, aya 4

36:4

عَلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ٤

'Alā sirātim mustaqīm

Juu ya Njia Iliyo Nyooka. 4

Maelezo ya chini

4 Juu ya Njia Iliyo Sawa, nayo ndiyo Dini ya Kiislamu.