Surat Yasin, aya 3

36:3

إِنَّكَ لَمِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ٣

Innaka laminal-mursalīn

Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa! 3

Maelezo ya chini

3 Hakika wewe, Muhammad, ni katika wale ambao Mwenyezi Mungu amewatuma kwa watu wawapelekee Uwongofu na Dini ya Haki.