Surat Yasin, aya 5

36:5

تَنزِيلَ ٱلۡعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ ٥

Tanzīlal-'azīzir-rahīm

Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 5

Maelezo ya chini

5 Ni mteremsho wa Mwenye nguvu Mwenye kushinda kila kitu, ambaye hapana mtu awezae kumzuia chochote akitakacho. Mwenye kuwarehemu waja wake, kwa kuwatumia watu wa kuwaongoza njia ya kuokoka.