Surat Yasin, aya 29

36:29

إِن كَانَتۡ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ فَإِذَا هُمۡ خَٰمِدُونَ ٢٩

In kānat illā sayhatan wāhidatan fa idhā hum khāmidūn

Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa! 29

Maelezo ya chini

29 Kuteketezwa kwao hakukuwa ila ni kwa ukelele mmoja tu tulio wapelekea. Na mara wao wakawa ni maiti, kama moto ulio zimwa.