Surat Yasin, aya 30

36:30

يَٰحَسۡرَةً عَلَى ٱلۡعِبَادِۚ مَا يَأۡتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ٣٠

Yāhasratan 'alal-'ibādi mā ya'tīhim mir rasūlin illā kānū bihī yastahzi'ūn

Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli. 30

Maelezo ya chini

30 Ee khasara yao, inayo faa kusikitikiwa! Hatuwapelekei waja wangu Mtume ila wao huwa wakimfanyia maskhara.