Surat Sad, aya 69

38:69

مَا كَانَ لِيَ مِنۡ عِلۡمِۭ بِٱلۡمَلَإِ ٱلۡأَعۡلَىٰٓ إِذۡ يَخۡتَصِمُونَ ٦٩

Mā kāna liya min 'ilmi bil-mala'il-a'lā idh yakhtasimūn

Sikuwa na ilimu ya mambo ya viumbe wakuu watukufu walipo kuwa wakishindana. 69

Maelezo ya chini

69 Mimi sikuwa nikijua khabari za watukufu walio juu walipo kuwa wakizozana juu ya shauri ya Adam, kwa sababu mimi sikupitia njia za kupata ilimu zilizo zowewa na watu za kusoma vitabu au kupokea masomo kwa wataalamu. Njia yangu mimi ya kujua ni kwa kufunuliwa kwa Wahyi.