أَنتُمۡ عَنۡهُ مُعۡرِضُونَ ٦٨
Antum 'anhu mu'ridūn
Ambayo nyinyi mnaipuuza. 68
Maelezo ya chini
68 Ewe Muhammad! Waambie: Haya ninayo kuambieni ni khabari kubwa, ambazo nyinyi mnazipuuza. Msizikanye!
أَنتُمۡ عَنۡهُ مُعۡرِضُونَ ٦٨
Antum 'anhu mu'ridūn
Ambayo nyinyi mnaipuuza. 68
68 Ewe Muhammad! Waambie: Haya ninayo kuambieni ni khabari kubwa, ambazo nyinyi mnazipuuza. Msizikanye!