Surat Sad, aya 63

38:63

أَتَّخَذۡنَٰهُمۡ سِخۡرِيًّا أَمۡ زَاغَتۡ عَنۡهُمُ ٱلۡأَبۡصَٰرُ ٦٣

Attakhadhnāhum sikhriyyan am zāghat 'anhumul-absār

Tulikosea tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni ? 63

Maelezo ya chini

63 Imekuwaje kuwa sisi tukiwakejeli na wala hawakuingia Motoni pamoja nasi? Au wamekwisha ingia na macho yetu yakazibwa tusiwaone tu?