Surat Sad, aya 36

38:36

فَسَخَّرۡنَا لَهُ ٱلرِّيحَ تَجۡرِي بِأَمۡرِهِۦ رُخَآءً حَيۡثُ أَصَابَ ٣٦

Fasakkharnā lahur-rīha tajrī bi amrihī rukhā'an haythu asāb

Basi tukaufanya upepo umtumikie, ukenda kwa amri yake, popote alipo taka kufika. 36

Maelezo ya chini

36 Tukamdhalilishia upepo, ukenda kama anavyo taka maridhawa, kokote aliko kusudia na kutaka.