Surat Sad, aya 37

38:37

وَٱلشَّيَٰطِينَ كُلَّ بَنَّآءٖ وَغَوَّاصٖ ٣٧

Wash-shayātīna kulla bannā'in waghawwās

Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi. 37

Maelezo ya chini

37 Na tukamdhalilishia kila mjenzi na mpiga mbizi katika bahari kuu miongoni mwa mashetani maasi.