بَلِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فِي عِزَّةٖ وَشِقَاقٖ ٢
Balil-ladhīna kafarū fī 'izzatin washiqāq
Lakini walio kufuru wamo katika majivuno na upinzani . 2
Maelezo ya chini
2 Lakini walio kufuru wamo katika majivuno, hawataki kufuata Haki, na wanawafanyia inda watu wa Haki.