صٓۚ وَٱلۡقُرۡءَانِ ذِي ٱلذِّكۡرِ ١
Sād wal-qur'āni dhidh-dhikr
S'ad, Naapa kwa Qur'ani yenye mawaidha. 1
Maelezo ya chini
1 S'ad: Ni harufi iliyo anzia Sura hii kama zilivyo anzia baadhi ya Sura nyengine kwa mpango wa Qur'ani katika kuanzia kwa harufi moja moja. Naapa kwa Qur'ani yenye utukufu na shani kubwa kuwa hakika hii ni Kweli isiyo na shaka yoyote.