Surat Sad, aya 18

38:18

إِنَّا سَخَّرۡنَا ٱلۡجِبَالَ مَعَهُۥ يُسَبِّحۡنَ بِٱلۡعَشِيِّ وَٱلۡإِشۡرَاقِ ١٨

Innā sakkharnal-jibāla ma'ahū yusabbihna bil-'ashiyyi wal-ishrāq

Hakika tuliidhalilisha milima pamoja naye ikisabihi jioni na asubuhi pamoja naye. 18

Maelezo ya chini

18 Hakika Sisi tuliidhalilisha milima pamoja naye, yeye akichuma manufaa kutoka humo, na hiyo milima ikimtakasa Mwenyezi Mungu Mtukufu na kila upungufu, wakati wa mwisho wa mchana na mwanzo wake.