وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٢٩
Wayaqūlūna matā hādhal-wa'du in kuntum sādiqīn
Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 29
Maelezo ya chini
29 Na makafiri wanasema kwa kuifanya haiwi hiyo Siku iliyo ahidiwa kwa ajili ya malipo: Lini itakuwa ahadi hii tuingie Motoni, na nyinyi muingie Peponi, kama nyinyi ni wakweli kwa hiyo ahadi yenu?