Surat Qaf, aya 29

50:29

مَا يُبَدَّلُ ٱلۡقَوۡلُ لَدَيَّ وَمَآ أَنَا۠ بِظَلَّٰمٖ لِّلۡعَبِيدِ ٢٩

Mā yubaddalul-qawlu ladayya wamā ana bizallāmil lil-'abīd

Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu. 29

Maelezo ya chini

29 Hapana la kugeuza kauli ilioko kwangu na onyo langu kuwatia makafiri Motoni, wala Mimi si Mwenye kuwadhulumu waja. Kwani simuadhibu mja yeyote bila ya makosa.