Surat Nuh, aya 18

71:18

ثُمَّ يُعِيدُكُمۡ فِيهَا وَيُخۡرِجُكُمۡ إِخۡرَاجٗا ١٨

Thumma yu'īdukum fīhā wayukhrijukum ikhrājā

Kisha atakurudsheni humo na atakutoeni tena. 18

Maelezo ya chini

18 Na Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na ardhi, akakuotesheni kama miema kwa njia ya ajabu, kisha baada ya kufa atakurejesheni huko huko kwenye ardhi, na tena atakutoeni huko kwa hakika hapana hivi wala hivi.