وَٱللَّهُ جَعَلَ لَكُمُ ٱلۡأَرۡضَ بِسَاطٗا ١٩
Wallāhu ja'ala lakumul-arda bisātā
Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati. 19
Maelezo ya chini
19 Na Mwenyezi Mungu ameifanya ardhi iliyo kunjuliwa ili mpate kwenda humo katika njia zenye wasaa.