وَٱصۡبِرۡ فَإِنَّ ٱللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجۡرَ ٱلۡمُحۡسِنِينَ ١١٥
Wasbir fa innallāha lā yudī'u ajral-muhsinīn
Na subiri, kwani Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa wanao fanya wema. 115
Maelezo ya chini
115 Ewe Nabii! Vumilia mashaka ya haya tunayo kuamrisha, na yatimize vilivyo. Mwenyezi Mungu atakulipa malipo makubwa. Kwani kwake Yeye hayapotei malipo ya watendao mema kwa mujibu wa vitendo vyao.