Surat Az-Zukhruf, aya 89

43:89

فَٱصۡفَحۡ عَنۡهُمۡ وَقُلۡ سَلَٰمٞۚ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ٨٩

Fasfah 'anhum waqul salāmun fasawfa ya'lamūn

Basi wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua. 89

Maelezo ya chini

89 Basi waachilie mbali, ewe Mtume, kwa wingi wa inda yao, na waambie: Langu mimi nikukuacheni kwa salama yenu kutoka kwangu, na salama yangu kutoka kwenu. Nanyi mtakuja jua kuwa mwisho wa inda yao ni khasara iliyo wazi.