Surat Az-Zukhruf, aya 88

43:88

وَقِيلِهِۦ يَٰرَبِّ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ قَوۡمٞ لَّا يُؤۡمِنُونَ ٨٨

Waqīlihī yārabbi inna hā'ulā'i qawmul lā yu'minūn

Na usemi wake (Mtume) ni: Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hawa ni watu wasio amini. 88

Maelezo ya chini

88 Naapa kwa kauli ya Muhammad s.a.w. anapo omba na kuita: Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika hawa wenye inda ni watu wasio tarajiwa kuamini.